Tanzania yapiga marufuku bidhaa kutoka Malawi na Afrika Kusini, katika Dira TV 24/04/2025

  • | BBC Swahili
    7,133 views
    Tanzania imepiga marufuku bidhaa zote za kilimo kutoka Afrika Kusini na Malawi. Waziri wa Kilimo wa Tanzania, Hussein Bashe amesema mazungumzo yanaendelea kupitia Wizara ya Mambo ya Nje, lakini Tanzania haiwezi kuendelea kunyimwa haki ya kuuza bidhaa zake katika nchi hizo mbili. #TunduLissu #Tanzania #Malawi #AfrikaKusini #HusseinBashe #Biashara Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw