Buriani Papa Francis, katika Dira ya Dunia TV Ijumaa 25/04/2025

  • | BBC Swahili
    10,328 views
    Mipango ya kiusalama imewekwa jijini Roma, Italia siku moja kabla ya mazishi ya Papa Francis yatakayofanyika siku ya Jumamosi 26/04/2025. Wageni kutoka mataifa mbalimbali wakiwemo marais na familia za kifalme watahudhuria. Vatian inasema zaidi ya watu laki moja na elfu hamsini wamefika kuuona mwili wa Papa uliolazwa katika jeneza lililo wazi, katika kanisa la mtakatifu Petro. #PapaFrancis #Vatican #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw