Nani walifyatua risasi bungeni Kenya? Dira ya Dunia TV Jumatatu 28/04/2025

  • | BBC Swahili
    5,716 views
    Uchunguzi mpya wa kitengo cha upekuzi cha BBC Africa Eye umefichua mwanajeshi wa Kenya aliyewafyatulia risasi waandamanaji nje ya Bunge la Kenya mwaka jana. Maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa 2024 yaligeuka kuwa ghasia wakati ambapo maelfu ya wakenya walipozingira bunge ili kuzuia wabunge wasipitishe mswada huo. #bbcswahilileo #bbcswahili #Kenya #Bunge #TunduLissu #Tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw