| MATUKIO 2024 | Makovu ya Gharika Mathare

  • | Citizen TV
    6,649 views

    Makovu ya gharika la mafuriko katika mtaa wa mathare hapa jijini nairobi yamesalia kuvuja miezi saba baada ya mkasa uliosababisha vifo vya watu 11 na kuwaacha wakazi bila makao. Baadhi ya familia zilizodhirika hazijapata miili ya wapendwa wao waliosombwa na mafuriko. Emily chebet alirejea katika eneo la mkasa na kukutana na baadhi ya familia ambazo hadi sasa hazijapata miili ya wapendwa wao na ambazo zililazimika kuhama baada ya nyumba zao kubomolewa.