Mauaji ya Rex I Vikao vya uchunguzi vyaendelea

  • | KBC Video
    12 views

    Aliyekuwa kamanda wa polisi kaunti ya Nairobi Adamson Bungei ameliambia jopo la uchunguzi kwamba hakukuwa na agizo la kutekeleza operesheni ya kiusalama wakati wa kupigwa risasi na kuuawa kwa mwanaharakati wa vijana wa Gen Z, Rex Kanyike Masai. Bungei alisema polisi walikuwa wanatii maagizo waliyopewa ya kudumisha amani jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive