Mauaji ya Wanawake I Bunge lahimizwa kufanya marekebisho ya sheria

  • | KBC Video
    29 views

    Mashirika ya kijamii yametoa wito wa marekebisho ya sheria zilizoko ili kujumuisha kipengee cha suala la mauaji ya wanawake wakati visa vya dhulma za kijinsia vikiongezeka humu nchini. Kwenye mkutano wa mashauriano ulioandaliwa leo katika kaunti ya Nairobi, mashirika hayo yalitaja umuhimu wa kubuniwa kwa dharura kwa sheria ya kukabiliana na mauaji ya wanawake, yakisema sheria zilizopo hazishughulikii kikamilifu uhalifu huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive