Mawasiliano ni nguzo muhimu katika vita dhidi ya ukosefu wa haki katika jimbo la Caledonia.

  • | KBC Video
    2 views

    Mawasiliano yametajwa kuwa nguzo muhimu katika vita dhidi ya ukosefu wa haki katika jimbo la Caledonia. Wakati wa kikao cha majadiliano kilichoandaliwa jijini Nairobi, washiriki kutoka Kenya na Azerbaijan walisema ghasia zilizozuka katika jimbo la New Caledonia zilietokana na ukosefu wa haki kuhusu marekebisho ya katiba kupiga kura ambazo hazijawashirikisha jamii asili ya Kanak. Mashirika ya kimataifa likiwemo kundi la mpango wa Baku na mashirika yasio ya serikali yametoa wito kwa Ufaransa kuheshimu haki za jamii asili katika jimbo la New Caledonia na majimbo mengine. Jimbo la New Caledonia ni jimbo linalojitaala nchini Ufaransa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News