Mawaziri wafanya mabadiliko kukomesha ubadhirifu kwenye sacco

  • | Citizen TV
    274 views

    Baraza La Mawaziri Limefanya Mabadiliko Kadhaa Ili Kudhibiti Sekta Ya Vyama Vya Ushirika Nchini. Akitangaza Mabadiliko Hayo Mjini Mombasa, Waziri Wa Vyama Vya Ushirika Wycliffe Oparanya Amesema Kuwa Mabadiliko Hayo Ikiwemo Halmashauri Ya Vyama Vya Ushirika Kusimamia Vyama Vya Ushirika Vilivyo Na Fedha Chini Ya Milioni 100 Inalenga Kukabiliana Na Ubadhirifu Wa Fedha Na Uongozi Duni Katika Sekta Hiyo.