Mawaziri Wapya I Kamati ya bunge yaidhinisha uteuzi wa Ruku na Cheptumo

  • | KBC Video
    195 views

    Kamati ya bunge kuhusu uteuzi imeidhinisha uteuzi wa Geoffrey Kiringa Ruku na Hannah Wendot Cheptumo kuwa mawaziri katika wizara ya utumishi wa umma na wizara ya jinsia mtawalia. Katika ripoti yake, kamati hiyo inayoongozwa na spika wa bunge Moses Wetangula ilisema wawili hao walionyesha ueledi masuala katika wizara husika. Ripoti hiyo ambayo iliyowasilishwa bungeni leo, itajadiliwa kesho, ikitoa fursa kwa wabunge kutoa maoni yao, kabla ya kuipigia kura

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News