Mawe yaporomoka kutoka mlimani hadi kwenye maboma, Muhorini

  • | Citizen TV
    1,325 views

    Wakaazi wa eneo la Kabonyo eneobunge la Muhoroni kaunti ya Kisumu wanaishi kwa hofu ya kukumbwa na maporomoko ya ardhi baada yam awe kutoka sehemu za milimani kuanza kuanguka. Wakaazi wa eneo hili wanasimulia baadhi ya matokeo ambayo wanasema ni hatari kwa Maisha yao.