Maziko ya Papa Francis yafanyika Vatican

  • | BBC Swahili
    58,035 views
    Makumi kwa maelfu ya watu, ikiwa ni pamoja na viongozi wengi wa dunia, wamehudhuria ibada ya mazishi ya Papa Francis huko Vatikani. Ibada hiyo imefanyika katika Uwanja wa Mtakatifu Petro, huku Vatican na kuhudhuriwa na kushuhudiwa na watu zaidi ya 200,000 ambao walikusanyika kuhudhuria ibada hiyo ndani ya uwanja na maeneo yanayozunguka. #bbcswahili #vatikani #papafrancis Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw