Mazingira salama kwa wanawake

  • | Citizen TV
    139 views

    Mshauri wa rais kwenye masuala ya jinsia Harritte Chiggai amehimiza utunzaji wa watoto na wanawake kwenye mazingira yaliyo salama. Akizundia mpango wa makazi salama unaojulikana kama "safe homes safe spaces". Chiggai amesema kuwa mazingira salama wanawake wajane na watoto, ni hitaji la kimsingi haswa kazini, nyumbani na kwenye maeneo ya umma. Chiggai alisisitiza kuwa rais willima ruto amefanya kipao mbele masuala ya wanawake wajane na watoto katika jamii.