Mazishi ya Mama Mary Ntutu

  • | Citizen TV
    223 views

    Baadhi ya viongozi Kaunti ya Narok wametaka kupunguzwa kwa siasa za migawanyiko wakati wa ziara rasmi ya Rais William Ruto eneo hilo mapema mwezi ujao.