Mazishi ya mwanajeshi wa Israeli aliyeuwawa katika mapigano Gaza
Familia, marafiki na wanajeshi walihudhuria mazishi huko katika makaburi ya kijeshi ya Mount Herzl, Jerusalem Jumanne (Juni 11) kwa ajili ya mwanajeshi wa Israeli mwenye umri wa miaka 19 aliyeuawa katika mapigano huko kusini mwa Gaza.
Sagenti Almog Shalom ni mmoja wa wapiganaji wanne waliouwawa Jumatatu (Juni 10), jeshi la Israeli lilisema.
Zaidi ya wanajeshi wa Israeli 600 wameuwawa tangu kuanza kwa vita hivyo huko Gaza Oktoba 7.
Tangazo la Jeshi la Israeli lilikuja saa kadhaa baada ya bunge la Israeli kuendelea na sheria yenye utata ya kuwasajili jeshini wanafunzi wa misimamo mikali ya dini ya dhehebu la ultra-orthodox.
Mswaada wa usajili huo utashuhudia kidogo kidogo kuingia katika jeshi baadhi ya Wayahudi wa dhehebu la ultra-Orthodox, ambao walikuwa wanautamaduni wa kukataa kutumikia majeshi ya ulinzi.
Licha ya kuwa hapo awali ilipendekezwa na Jenerali mstaafu Benny Gantz, ambaye alijiuzulu katika serikali kutokana na mvutano juu ya mvutano wa malengo ya kimkakati ya vita vya Gaza, hivi sasa anapinga hatua hiyo, ambayo anasema haitoshelezi kwa mahitaji ya wafanyakazi wapya yanayo likabili jeshi.
- Reuters
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #kufrdan #jenin #wanamgambo #wapalestina #jeshi #israel
22 Apr 2025
- Kenyan men have been accused of adopting outdated toxic traits.
22 Apr 2025
- Kenya's exports to the US are estimated at around Ksh109.7 billion (784 million USD).
22 Apr 2025
- The DCI revealed the case was escalated to the special unit.
23 Apr 2025
- A Hamas delegation left for Cairo to discuss "new ideas" aimed at securing a ceasefire in Gaza, an official from the group said, as rescuers reported 26 dead in Israeli air strikes on Tuesday.
23 Apr 2025
- Several world leaders have announced they will travel to Rome for Pope Francis's funeral on Saturday, which is likely to also draw a huge crowd in the square in front of St Peter's Basilica at the Vatican.
23 Apr 2025
- Prince William will represent Britain's royal family at the funeral of Pope Francis at the Vatican on Saturday, Kensington Palace said Tuesday.
23 Apr 2025
- MPs launch probe into kidney trade claims
23 Apr 2025
- The elusive dream: Is the world ready for a Pope from 'fast rising' Africa?
23 Apr 2025
- Minty business: Local farmer mints cash from fragrant crop
23 Apr 2025
- Orengo speaks language of integrity in a betrayed nation
23 Apr 2025
- Shilling's rally set for dividends season dollar demand test
23 Apr 2025
- Nepal's digital finance and lessons from our mobile money revolution
23 Apr 2025
- Papal dais: A lasting tribute to Pope Francis