Moja kwa moja: Maziko ya Papa Francis Vatican

  • | BBC Swahili
    0 views
    Makumi kwa maelfu ya watu, ikiwa ni pamoja na viongozi wengi wa dunia, wanatahudhuria. Hafla hiyo itahusisha nini hasa - na itakuwaje tofauti na mazishi ya papa wengine? Usikose kufuatilia mazishi haya moja kwa moja katika ibada ya mazishi Kanisa kuu la Mtakatifu Petro kupitia ukurasa wa Youtube wa BBCSwahili #bbcswahili #vatikani #papafrancis Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw