Mbunge Faith Wairimu Gitau awataka viongozi wa kisiasa kuzingatia kuboresha maneno yao

  • | Citizen TV
    164 views

    Mwakilishi wa kike kaunti ya Nyandarua Faith Wairimu Gitau amewataka viongozi wa kisiasa kuzingatia kuboresha maneno yao na kuepuka matamshi yanayoweza kuleta mtafaruku nchini.