Mbunge Irene Njoki aitaka wizara ya elimu kukamilisha madarasa ya gredi ya tisa

  • | Citizen TV
    120 views

    Mbunge Wa Bahati Irene Njoki ameitaka wizara ya elimu kukamilisha madarasa ya gredi ya tisa haraka ili kupunguza msongamano wa wanafunzi shuleni.