Mbunge Mwengi Mutuse asema Gachagua alitumia vitisho kuishurutisha KEMSA kumpa mwanawe kandarasi

  • | Citizen TV
    3,079 views

    Kwa kuegemea ushahidi wa aliyekuwa kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya kusambaza dawa na vifaa vya matibabu - kemsa, mbunge mwengi Mutuse anasema kuwa gachagua alitumia vitisho na kuishurutisha kemsa kumpa mwanawe kandarasi ya kusambaza vyandarua vya mbu. Mutuse anasema hatua hiyo ni kinyume na maadili ya afisa wa umma na mgongano w amaslahi ambao ulisababisha wakenya kupoteza pesa za umma na mgongano na shirika la global fund lililokuwa likitoa ufadhili wa kimatibabu nchini.