Mbunge Ndindi Nyoro atambuliwa kwa kazi njema

  • | KBC Video
    389 views

    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ametunukiwa tuzo ya uongozi bora ya 'Mizani Afrika' mwaka 2024 kwa kujitolea kwake kuziwezesha shule kuwa na miundombinu muhimu na kuwezesha jamii kupitia mipango ya maendeleo endelevu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive