Mbunge Opiyo Wandayi asema kuwa ushuru unaopendekezwa utawakandamiza wakenya

  • | Citizen TV
    2,005 views

    Huku Viongozi Wa Upinzani Wakizidi Kupinga Mswada Wa Fedha Wa Mwaka Wa 2024/25 Kutokana Na Ushuru Mwingi Unaopendekezwa, Kiongozi Wa Wachache Bungeni Opiyo Wandai Amesema Kuwa Ushuru Unaopendekezwa Utawakandamiza Wananchi Amba Tayari Wanakabiliwa Na Changamoto Za Gharama Ya Juu Ya Maisha. Aidha Wandayi Anasema Kuwa Ushuru Huo Utaongeza Bei Ya Bidha Ana Kufanya Maisha Kuwa Magumu Zaidi Kw Awananchi Wa Kawaida.