Mbunge wa Githunguri Gathoni Wa Muchomba adai maisha yake ya hatarini

  • | Citizen TV
    5,393 views

    Haya yakijiri, Mbunge wa Githunguri Gathoni Wamuchomba hii leo amedai kwamba maisha yake yako hatarini baada ya serikali kumpokonya walinzi wake. Wamuchomba ambaye pia ni mwandani wa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua akisema analengwa kutokana na msimamo wake wa kisiasa.