Mbunge wa zamani Alfred Keter ahojiwa na maafisa wa DCI

  • | Citizen TV
    1,703 views

    Aliyekuwa mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter leo amehojiwa na maafisa wa idara ya upelelezi kuhusiana na kile kilichotajwa kuwa kuhusika na uagizaji wa bunduki nchini. kwa mujibu wa Keter, serikali inadai kuwa aliagiza bunduki kutoka DRC Congo na kuzitoa kwa waandamanaji. Haya yakijiri huku viongozi wa Azimio la Umoja walioandamana naye wakikashifu utekaji nyara ambao unaoendelezwa nchini