Mbwa adaiwa kutoweka na maiti ya Mtoto katika hospitali ya kaunti ndogo ya Kimilili

  • | West TV
    78 views
    Familia moja kutoka kijiji cha Laini Moja wadi ya Milima eneo bunge la Tongaren wanalilia haki baada ya mwanao kujifungulia katika hospitali ya kaunti ndogo ya kimilili ila mtoto akatoweka katika mazingira tatanishi