MCA Wa Dela Alaumu Serikali Ya Kaunti Ya Wajir Kwa Kutekwa Kwake

  • | K24 Video
    110 views

    Mwakilishi wadi ya Dela, Yusuf Hussein, ambaye alipotea kwa miezi sita baada ya kutekwa nyara Septemba mwaka jana, sasa anaitupia lawama serikali ya kaunti ya Wajir kwa masaibu yake. Hussein anadai alitekwa kwa sababu za kisiasa kutokana na msimamo wake mkali dhidi ya bajeti ya kaunti ya mwaka wa 2024/2025.