Mchuano wa Raga wa Safari

  • | NTV Video
    18 views

    Timu ya taifa ya Raga Shujaa inadhamiria kuhifadhi taji lake katika Makala ya 23 ya mchuano wa raga ya wachezaji saba kila upande wa Safari unaofanyika uwanjani Kenyatta kaunti ya Machakos. Katika matokeo ya leo Shogun iliishinda Kenya harlequins alama 26 kwa 0, Red Wailers iliinyuka Kenya Moran alama 14 kwa 12 nayo Lions iliicharaza Qatar alama 38 kwa 0.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya