Mchuano wa safari 7s utaandaliwa Oktoba 11-13

  • | Citizen TV
    98 views

    Kaunti ya machakos imezindua awamu ya 26 ya mchuano wa raga wa safari 7s ambao kwa mara ya kwanza utaandaliwa kaunti hiyo.