Mchuano wa voliboli wa wachezaji walemavu umeingia siku ya pili

  • | NTV Video
    217 views

    Mchuano wa voliboli wa wachezaji walemavu baina ya kaunti umeingia siku yake ya pili hii leo katika ukumbi wa uwanja wa taifa wa Nyayo.

    Makala ya mwaka huu yamewaleta pamoja wanavoliboli kutoka zaidi ya kaunti 10 na yalifunguliwa rasmi na Mwakilishi wa wanawake wa kaunti ya Nairobi Esther Passaris.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya