Mchungaji Wa Kanisa La Akorino Akemea Tukio La Jana Mjini Nyeri

  • | TV 47
    3,721 views

    Vita vya ubabe wa kisiasa kati ya aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua na aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga vinaonekana kutanda. Hii ni baada ya Njenga kudaiwa kuuvamia mkutano wa maombi uliokuwa ukiongozwa na mkewe Gachagua hapo jana katika Kaunti ya Nyeri.

    #TV47Wikendi #TV47WeekendEdition

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __