Mechi kati ya Shabana na Posta Rangers yakosa kufanyika baada ya marefa kukosa kujitokeza

  • | TV 47
    37 views

    Maelfu ya mashabiki waliojitiokeza kushuhudia mechi ya kwanza nyumba dhidi ya Poster Rangers ya ligi kuu nchini KPL wametamaushwa na uamuzi wa FKF kuhairisha mechi hiyo katika njia tatanishi pasi na mwelekeo mwafaka kutokana na kutofika kwa waamuzi uwanjani siku hii ya leo licha ya timu zote kufika ugano na kupasha misuli na kumalizia kutocheza mechi hiyo,, usimamizi wa timu zote umeonyesha kutamauka kwa o licha ya shirikisho la fkf kutoa barua kuelezea kutoelekea kutofika kwa waamuzi uwanjani ila wamedokeza kuanzisha uchunguzi wa haraka hizi hapa ni kauli za mashabiki na wasimamizi wa timu hizi. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __