Mediheal yajitetea kuhusu madai ya biashara ya ulanguzi wa figo

  • | NTV Video
    220 views

    Hospitali ya Mediheal imevunja kimya chake na kujitetea kuwa oparesheni zake zinafuata sheria.

    Mawakili wa hospitali ya Mediheal wazungumza mjini Eldoret.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya