Melvin Timtim atia fora kwenye mtihani wa KCSE licha ya kugunduliwa kuwa na ugonjwa wa 'lukemia'

  • | Citizen TV
    2,416 views

    Kadiri Shamrashamra Za Matokeo Ya Kcse Zinavyoendelea Nchini, Hadithi Za Kushangaza Za Uvumilivu Na Ushindi Dhidi Ya Changamoto Za Elimu Zinaendelea Kujitokeza. Hebu Fikiria Hili—Alilazimika Kusitisha Masomo Kwa Miaka Miwili Mfululizo Baada Ya Kugunduliwa Kuwa Na Ugonjwa Wa Lukemia. Alisafiri Hadi India Kwa Ajili Ya Upandikizaji Wa Mafuta Ya Mifupa, Akapigana Vita Vikali Zaidi Maishani Mwake, Na Hatimaye Akarudi Mwaka Wa 2024 Kumaliza Mwaka Wake Wa Mwisho Wa Shule Ya Sekondari. Licha Ya Kila Kikwazo, Alifanya Mtihani Wa Kcse Na Akatamba Kwa Alama Za Juu, Akipata 'A' Katika .