Meneja wa hoteli ya Taita Hill Resort, Sanjjee Kumar apokonywa leseni

  • | Citizen TV
    2,891 views

    Mamlaka ya Kudhibiti Sekta ya Utalii Nchini imetangaza kubatilisha leseni ya meneja wa hoteli ya Taita Hill Resort, Sanjjee Kumar, kufuatia malalamiko ya unyanyasaji wa wafanyakazi wanaohudumu chini yake.