Methali: Achanikaye kwenye mpini hafi njaa

  • | KBC Video
    4 views

    Methali: Achanikaye kwenye mpini hafi njaa

    Maana yake: Afanyaye kazi kwa bidii hapatwi na njaa

    Matumizi: Methali hii inatuhimiza tusiwe wazembe, bali tujitahidi kila wakati ili kufanikiwa maishani

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive