Methali ya Siku I Atangaye sana na jua, hujua

  • | KBC Video
    15 views

    ATANGAYE SANA NA JUA, HUJUA

    Maana yake: Methali hii ina maana kuwa wanaojitolea na kufanya bidii zao hata kwenye mazingira magumu, bila shaka hawakosi kufanikiwa, bali na kuwa na tajiriba kuu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive