Methali ya Siku I Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe

  • | KBC Video
    42 views

    METHALI YA SIKU

    MLA NAWE HAFI NAWE ILA MZALIWA NAWE

    Maana yake: wakati unapopatwa na shida, wale watakaokusaidia ni ndugu wa karibu ilhali watu uliosherehekea nao wakati mambo yalipokuwa shwari huenda wakakutupilia mbali

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive