Mfalme Alexander na Malkia Máxima waanza ziara nchini

  • | KBC Video
    684 views

    Kenya na Uholanzi zimetia saini mikataba za maelewano katika sekta za kibiashara, kilimo na utalii ili kuimarisha fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kibiashara baina ya nchi hizo mbili. Mikataba hizo za kubuni kituo cha maji na usafi katika maeneo maalum ya kiuchumi huko Naivasha na kaunti ya Kilifi, zilitiwa saini leo asubuhi katika Ikulu ya Nairobi wakati wa ziara ya mfalme Willem-Alexander na malkia Máxima wa ufalme wa Uholanzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive