Mfalme wa Uholanzi Willem-Alexander azuru Kenya

  • | Citizen TV
    2,360 views

    Mfalme ameandamana na malkia na pia wawekezaji

    Walipokewa na Rais William Ruto Ikulu ya Nairobi

    Swala la haki za kibinaadam lajadiliwa kikaoni