Mfanyabaishara na mwanasiasa Jimi Wanjigi amefikishwa mahakamani Milimani

  • | NTV Video
    6,520 views

    Mfanyabaishara na mwanasiasa Jimi Wanjigi amefikishwa mahakamani milimani. Hapo jana serikali ilitoa taarifa kwa vyombo vya habari kufutilia mbali kibali cha Wanjigi cha kumiliki silaha na kumtaka kuwasilisha silaha zote ndani ya siku 14 , Hii ikiwa ni abaada ya vurumai wakati wa kumkamata. kulikuwa na madai ya jimi kushiriki maandamano ya vijana na pia shutuma za kuyafadhili maandamano hayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya