Mfua vyuma aunda jenereta isiyotumia petroli

  • | KBC Video
    15 views

    Mfanyibiashara mmoja katika eneo la Malaba ameunda jenereta isiyotumia mafuta au umeme.David Otieno ambaye anamiliki karakana ya kufua vyuma amesema amepunguza gharama ya uzalishaji na changamoto zinazotokana na kupotea kwa umeme. Fundi huyo wa jua kali aliyejipatia mafunzo kupitia mtandao wa YouTube ananuia kuunda jenereta zaidi zitakazotumiwa shuleni na hospitalini za gharama nafuu. Otieno amemualika waziri wa kawi, Opiyo Wandayi na mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Kengen kukumbatia uvumbuzi wake na kumsaidia kuendeleza teknolojia hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive