Mfumo mpya wa ufadhili wa afya SHA kuzinduliwa Oktoba huku wananchini wangali wanatilia shaka

  • | TV 47
    8 views

    Huku ikiwa imesalia chini ya saa 72 kabla ya uzinduzi wa bima mpya ya afya ya SHA, baadhi ya wakenya wangali wanatilia shaka manufaa ya mfumo huu mpya, hali ambayo imesababisha wao kutojisajili. SHA inatarajiwa kuzinduliwa tarehe 1 oktoba, hata hivyo wengi wanashuku iwapo serikali itafikia malengo yake ya kusajili nyumba milioni 12 ifikapo tarehe ya uzinduzi.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __