Mgawanyiko waendelea kushuhudiwa katika bunge la kaunti ya Nyamira

  • | Citizen TV
    481 views

    Mgawanyiko unaendelea kushuhudiwa katika bunge la kaunti ya Nyamira, huku pande mbili kinzani zikiendelea kung'ang'ania nyadhifa za uongozi katika bunge hilo. Hatua hiyo ilisababisha kufanyika kwa vikao viwili sambamba siku ya Jumanne. Haya yakijiri kesi ya kupinga kutimuliwa kwake Okero iliyowasilishwa katika mahakama ya leba na ajira mjini Kisumu, bado haijaamuliwa.