Mgomo wa maafisa tabibu watamatika

  • | KBC Video
    124 views

    Chama cha matabibu nchini kimefutilia mbali mgomo wake kufuatia mashauriano na wizara ya afya. Matabibu hao waligoma tarehe 18 mwezi Februari mwaka huu kushinikiza kutekelezwa kwa mfumo wa kurejea kazini wa mwaka 2024, kuajiriwa kwa wanagenzi na kuajiriwa kwa matabibu wa mpango wa afya kwa wote kwa masharti ya kudumu. Akizungumza wakati wa kutiwa saini kwa makubalino ya kurejea kazini katika afisi za wizara ya afya waziri wa afya Deborah Barasa alikiri azma ya serikali ya kushughulikia maswala makuu yaliyoibuliwa na matabibu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive