Mgomo wa maafisa wa kliniki uliodumu kwa siku 99 kote nchini wasitishwa

  • | K24 Video
    52 views

    Mgomo wa maafisa wa kliniki uliodumu kwa siku 99 kote nchini hatimaye umesitishwa, ila kwa muda tu. Haya yanajiri baada ya muungano wa maafisa wa kliniki kufikia makubaliano na baraza la magavana. Mgomo huo umetatiza kwa kiasi kikubwa huduma za afya hasa katika hospitali za msingi, ambazo zinategemea zaidi maafisa wa kliniki kwa ajili ya utoaji wa huduma bora.