Mgomo wa madaktari unaumiza wagonjwa Isiolo

  • | NTV Video
    53 views

    Familia moja katika kaunti ya Isiolo inakabiliwa na hali mbaya huku ikimtunza binti yao mwenye umri wa miaka kumi na minane, ambaye anategemea msaada wa oksijeni. Rabecca Akumu alihamishwa kutoka hospitali ya rufaa ya Isiolo hadi nyumbani kwake baada ya mgomo wa wafanyikazi wa matibabu kuacha kituo hicho kwa kukosa kutoa huduma muhimu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya