Akizungumza wakati wa kikao na wanahabari chuoni humo, Dkt. Alfred Bett, katibu wa uasu tawi la Chuo Cha Kabianga, alisema wahadhiri hao hawatarejea darasani hadi serikali itimize matakwa yao. Wahadhiri hao wanaishutumu serikali kwa kujikokota katika kutekeleza mishahara na marupurupu yaliyokubaliwa, jambo ambalo limezua vurugu katika vyuo vikuu vya umma.
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond.
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews