Mgomo wa wahadhiri chuoni Alupe

  • | Citizen TV
    120 views

    Inaarifiwa kuwa mtoto huyo wa kiume alitumbukia na kufa maji kwenye mto Kipkaren katika kijiji cha Maengo, kaunti ya Kakamega. Kulingana na jamaa zake, David Mukutsi aliondoka na rafiki wake kwenda kuvua samaki kwenye kijito kilichoko karibu na nyumbani kwao, kabla ya kuelekea kunywa maji kwenye mto kipkaren. Inasemekana kuwa aliteleza na kutumbukia mtoni.juhudi za kuisaka maiti ya mtoto huyo zinaendelea.