- 1,096 viewsDuration: 3:39Bado suluhisho halijapatikana kwenye mgomo unaoendelea wa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma baada ya wizara ya elimu na chama cha wahadhiri hao kukosa kuafikia makubaliano ya jinsi zile shilingi bilioni 7.2 ambazo wahadhiri hao wanadai zitakavyolipwa. Kwenye mkutano ulioongozwa na kamati ya bunge la taifa kuhusu elimu uliohudhuriwa na waziri wa fedha John Mbadi, mwenzake wa elimu Julius Migos, na maafisa wa vyama vya wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma pande zote zilikosa kuelewana jinsi pesa hizo zitakavyolipwa kwa awamu mbili, huku wahadhiri wakisisitiza wa Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive