Mgomo wa wauguzi Kajiado umeingia wiki ya pili

  • | Citizen TV
    214 views

    Wagonjwa waliokuwa wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya Kajiado wameagizwa kuondoka na kutafuta matibabu kwingine.