Mhamiaji apaza sauti kutaka msaada baada ya Tunisia kuanzisha msako mkali

  • | VOA Swahili
    658 views
    Mhamiaji aeleza kile ambacho kinaendelea kumfanya asirejee nchini kwao Sierra Leone na kwa nini inamlazimu kuendelea kukaa katika kambi ya wakimbizi katika mji mkuu nchini Tunisia. Ungana na mwandishi wetu akikuletea sikitiko la mhamiaji huyo ambaye anaeleza nini kifanyike kuweza kuokoa maisha yao baada ya rais wa Tunisia kutangaza msako mkali... #mhamiaji #Sierra Leone #kambi #wakimbizi #tunisia #rais #msakomkali #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.