Mhubiri Peter K. anatafutwa na polisi Kaunti ya Nakuru

  • | Citizen TV
    5,710 views

    Mhubiri ambaye kanisa lake livamiwa na wananchi wiki mbili zilizopita kwa madai ya ulawiti angali anasakwa na maafisa wa usalama jijini Nakuru